Alhamisi, 21 Novemba 2013

UPDATES!!!! MGOMO WA WAFANYABIASHARA KARIAKOO JIJINI DAR LEO/////TAZAMA MAPICHA HAPA

Mtaa wa Kongo.

Makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi.
Wamachinga wakiendelea kutesa.
Mtaa wa Msimbazi.
Mtaa wa Tandamti.
WAFANYABIASHARA jijini Kariakoo Dar es Salaam, leo wamefunga maduka yao na kususia kulazimishwa kutumia mashine za kutoza kodi kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA. Wakizungumza na mtandao huu wafanyabiashara hao wamepinga kitendo cha kuuziwa mashine hizo kwa shilingi laki 8 pamoja na kutozwa kodi kutokana na mauzo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni