JE KUNA UKWELI WOWOTE HAPA: ETI WANAUME WAREFU NDIO UGONJWA MKUBWA WA WANAWAKE
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku
nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa
wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume
wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi
nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri
kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za
kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa
wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo
wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa
wanawake na nyie mnasemaje??
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni