Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amesema yote kwenye mahojiano na
eonline.com nakusema kuwa ilimbidi afanye mambo mengi kwenye maisha yake
ili kupata muda wa kufikiria cha kuandika kwenye album yake ya tatu na
sasa baada ya kumaliza muda wake kwenye kipindi cha American Idol, yupo
tayari kurudi studio na kufanya muziki
Rapper huyo ambaye alishawahi kuwa judge kwenye kipindi cha tv cha kutafuta vipaji "American Idol" amesema muda wake kama Judge amejifunza mengi na amefurahi sana kupewa nafasi kama hio ila umefuka muda wa yeye kuanza kufikiria muziki wake.Nicki Minaj ameanza kuandika album yake ya tatu inayotegemewa kuwa Hit itakapo toka.

Kuhusu filamu yake mpya, napenda kukujulisha kuwa "The Other Woman,"
inatoka hivi karibuni na Minaj humu anaonekana na Stars wakubwa kama
Cameron Diaz na Kate Upton.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni