Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka
huu, baada ya mumewe kukata rufaa. Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo
katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam lakini imeahirishwa baada ya
Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kupata hudhuru!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni