Jumatano, 27 Novemba 2013

RIPOTI || REAL MADRID 4-1 GALATASARAY


Wakicheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 26 baada ya Beki wao Sergio Ramos kupewa Kadi Nyekundu kwa kumzuia Umut Bulut aliyekuwa akichanja mbuga kwenda kufunga, Real Madrid waliokuwa Uwanja wa kwao Santiago Bernabeu walifumua Galasaray Bao 4-1 na kusonga Raundi ijayo.
Bao za Real zilifungwa na Gareth Bale, Arbeloa, Isco na Di Maria na lile la Galatasaray kufungwa na Umut Bulut.
Hii ni mara ya 17 kwa Sergio Ramos kupewa Kadi Nyekundu akichezea Real Madrid.

VIKOSI:
Real Madrid: Casillas; Arbeloa, Pepe, Ramos, Marcelo; Illarramendi, Casemiro; Bale, Isco, Jesé; Benzema
Galatasaray: Iscan; Nounkeu, Zan, Chédjou, Eboué; Ínan, Melo, Amrabat, Bruma; Bulut, Drogba.

SHARE HII NA TOA MAONI YAKO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni