Jumatano, 27 Novemba 2013

Msanii Steve RnB kuuaga Ukapela hivi karibuni....Amvisha Pete Mchumba wake...!!

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.

lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake.
 steve rnb engaged 2 
Rumour ni kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa  muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.\

tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni