
Mrembo
anayefanya vizuri katika mambo mengi sana nchini Jokate Mwegelo
amezungumza na kutaja Mambo manne yanayomfanya apendwe sana na wanaume
wengi hapa nchini.
1. Kujiamini
Hii ndi sababu kubwa ya kwanza
aliyoitaja jokate. Ansema hamna kitu kinachowavutia watu, hasa wananume
kama kujiamini. Mwanaume anapenda msichana anayejiamini. Zaidi ya yote
hamna kitu kinachosema kuwa “I’m sexy” Zaidi ya mwanamke anayejiamini
2. Kujitegemea
Hii ni kama sababu ya kwanza
hapo juu, Jokate anasema hamna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke
ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda
kutafuta vya kwako basi jua atakupenda sana
3. Kupendeza
Jokate anasema ni muhimu kwa
wadada kuvaa nguo nzuri ambazo zitakupendeza kulingana na mwili wako
hasa hasa nguo zenye rangi ya kuonekana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni