HUYU NI MTANZANIA ALIYEVAMIWA HAPA NAIROBI NA KUUMIZWA VIBAYA HAPO JANA
NA AMEJITAMBURISHA KWA POLICE WALIOMUOKOTA KAMA DR.JUMA MALIKI
.TUNAPENDA KUWAOMBA YEYOTE ANAYEMFAHAMU AWASILIANE NA NA NDUGU ZAKE
MAANA ANA HALI MABAYA NA HAKUNA ALIYEJITOKEZA KUMJUA .AMELAZWA HAPA
KENYATTA NATIONAL HOSPITAL.NA HAKUNA TAARIFA ZAIDI YA HIZI.(na kwa sasa
hawezi kuongea)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni