Katika kuelekea kukamilisha mpango wake wa kutambulisha muziki mpya
kutoka kwa Linex, ametangaza rasmi kurudi tena kwenye show za club za
Dar es salaam mwakani baada ya kuwa tayari kutambulisha muziki huo.
Msanii Linex Sunday Mjeda ametangaza rasmi kutofanya show kwenye Club za
Dar es salaam mpaka kuisha kwa mwaka 2013 na muda huu atakuwa akifanya
mchakato wa kufanya collabo na wasanii kutoka nje ya Nchi kama Nigeria
na Jamaica. Linex amesema anataka kujipanga tena kwa mwaka 2014
iliakionekana kwenye jukwa tena mwakani awe mpya kwenye macho ya watu.
Show Ya Mwisho Linex amefanya kwenye jukwa la club jijini Dar es salaam
ni show ya Bob Junior iliyofanyika Club Bilicanas Jana usiku wakati wa
utambulisho wa wimbo mpya wa Bob Junior ft Vanessa Mdee - Bashasha
You
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni