SASA HII KIBOKO ..ETI HUYU MCHEZAJI NI CHINI YA MIAKA 21 ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20
Huyu ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka
20, Hivi kwa hali hii soka letu litaendelea kweli?
Asante Bin Zubery
kuzidi kutufumbua macho lol, niliambiwa
na mtu wangu wa karibu alienda uwanja wa Karume akakuta vijana wengi
wanaocheza ukiwaangalia kiumri na umri wa mashindano ya Uhai Cup ni
tofauti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni