Ommy Dimpoz Amepima H I V Jana, Tazama Hapa Jibu Na Uamuzi Aliofanya Baada Ya Kupata Jibu Hili.
Hii
Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy
Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V
1] Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
2] Kukinga wengine baada ya kujua afya yako pia ni muhimu.
Bonyeza ReadMore Kuona Majibu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni