Jumatano, 27 Novemba 2013

UNITED YATINGA 16 BORA KWA KISHINDO


walitinga kwa kishindo kikubwa raundi ya mtoano ya timu 16 ya UCL baada ya kuitwanga timu inayokamata nasasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ya Bundesliga, Bayer Leverkusen kwa bao 5-0 tena wakiwa uwani kwao huko Ujerumani.
Bao za Man United zilifungwa na Antonio Valencia, Dakika ya 22, Spahic, alijifunga mwenyewe Dakika ya 30, Jonny Evans, 65, Chris Smalling, 77, na Nani, Dakika ya 88.

Wakiwa hawafunguki kwao na Msimu huu wameshinda michezo yote waliyocheza kiwanjani hapo ukiachilia mbali suluhu waliyotoka na Mabingwa wa Germany, Bayern Munich.
Bayer Leverkusen, walipewa nafasi kubwa lakini walijikuta wako hoi bin taaban na sasa wamepitwa kwenye Msimamo wa Kundi hili na Shakhtar Donetsk ambayo nao jana waliifunga Real Sociedad Bao 4-0.
Kwenye Mechi hii, Man United walivaa utepe Mweusi mkononi kuomboleza Kifo cha Lejendari Nahodha wao, Bill Foulkes, aliefariki Wiki hii akiwa na Miaka 81, ambae alichezea Klabu hiyo Mechi 688 ambazo zimepitwa tu na Sir Bobby Charlton, Ryan Giggs na Paul Scholes.

VIKOSI:
BAYER LEVERKUSEN: Leno, Donati, Spahic, Toprak, Can, Bender, Reinartz, Rolfes, Castro, Kiessling, Son
Akiba: Lomb, Stafylidis, Wollscheid, Derdiyok, Hegeler, Kruse, Kohr.
MAN UNITED De Gea, Smalling, Ferdinand, Evans, Evra, Giggs, Jones, Valencia, Nani, Kagawa, Rooney
Akiba: Lindegaard, Anderson, Hernandez, Young, Welbeck, Cleverley, Buttner.
Refa: Svein Oddvar Moen (Norway)

KAMA ULIANGALIA MECHI GONGA LIKE, TOA MAONI YAKO

13Like · ·

RIPOTI || REAL MADRID 4-1 GALATASARAY


Wakicheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 26 baada ya Beki wao Sergio Ramos kupewa Kadi Nyekundu kwa kumzuia Umut Bulut aliyekuwa akichanja mbuga kwenda kufunga, Real Madrid waliokuwa Uwanja wa kwao Santiago Bernabeu walifumua Galasaray Bao 4-1 na kusonga Raundi ijayo.
Bao za Real zilifungwa na Gareth Bale, Arbeloa, Isco na Di Maria na lile la Galatasaray kufungwa na Umut Bulut.
Hii ni mara ya 17 kwa Sergio Ramos kupewa Kadi Nyekundu akichezea Real Madrid.

VIKOSI:
Real Madrid: Casillas; Arbeloa, Pepe, Ramos, Marcelo; Illarramendi, Casemiro; Bale, Isco, Jesé; Benzema
Galatasaray: Iscan; Nounkeu, Zan, Chédjou, Eboué; Ínan, Melo, Amrabat, Bruma; Bulut, Drogba.

SHARE HII NA TOA MAONI YAKO

CECAFA || ZANZIBAR YAANZA VEMA, KENYA SULUHU


CHALENJI CUP, leo yameanza huko Nairobi, Kenya kwa Mechi mbili za Kundi A ambapo Zanzibar ilianza vyema kwa kuifunga South Sudan Bao 2-1 na Wenyeji Kenya kutoka Sare 0-0 na Ethiopia.
Mechi zote hizo zilichezwa Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi na ilitangulia ile ya Zanzibar na South Sudan ambapo Zanzibar waliifunga South Sudan 2-1.
Mabao ya Zanzibar yalifungwa na kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Suleiman Kassim ‘Selembe’ katika Dakika ya 5 na Adeyoum Saleh Ahmed kwenye Dakika ya 65.
Bao la Sudan Kusini lilifungwa na Fabiano Lako katika Dakika ya 67.
VIKOSI:
Zanzibar: Abdallah Rashid, Salum Khamis, Waziri Salum, Shaffi Hassan, Mohamed Fakhi, Sabri Ali, Masoud Ali, Suleiman Kassim, Awadh Juma, Amour Omar, Khamis Mcha
South Sudan: Juma Jinaro, Atar Thomas, Philip Delfino, Edomon Amadeo, Richard Justin, Wiiam Offiri, Jimmy Erasto, Thomas Jacob, Godfrey Peter, Francis Khamis, James Joseph.

SHARE HII NA TOA MAONI YAKO

6Like ·

UNITED YATINGA 16 BORA KWA KISHINDO


Mabingwa wa England, Manchester United, usiku wa jana walitinga kwa kishindo kikubwa raundi ya mtoano ya timu 16 ya UCL baada ya kuitwanga timu inayokamata nasasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ya Bundesliga, Bayer Leverkusen kwa bao 5-0 tena wakiwa uwani kwao huko Ujerumani.
Bao za Man United zilifungwa na Antonio Valencia, Dakika ya 22, Spahic, alijifunga mwenyewe Dakika ya 30, Jonny Evans, 65, Chris Smalling, 77, na Nani, Dakika ya 88.

Wakiwa hawafunguki kwao na Msimu huu wameshinda michezo yote waliyocheza kiwanjani hapo ukiachilia mbali suluhu waliyotoka na Mabingwa wa Germany, Bayern Munich.
Bayer Leverkusen, walipewa nafasi kubwa lakini walijikuta wako hoi bin taaban na sasa wamepitwa kwenye Msimamo wa Kundi hili na Shakhtar Donetsk ambayo nao jana waliifunga Real Sociedad Bao 4-0.
Kwenye Mechi hii, Man United walivaa utepe Mweusi mkononi kuomboleza Kifo cha Lejendari Nahodha wao, Bill Foulkes, aliefariki Wiki hii akiwa na Miaka 81, ambae alichezea Klabu hiyo Mechi 688 ambazo zimepitwa tu na Sir Bobby Charlton, Ryan Giggs na Paul Scholes.

VIKOSI:
BAYER LEVERKUSEN: Leno, Donati, Spahic, Toprak, Can, Bender, Reinartz, Rolfes, Castro, Kiessling, Son
Akiba: Lomb, Stafylidis, Wollscheid, Derdiyok, Hegeler, Kruse, Kohr.
MAN UNITED De Gea, Smalling, Ferdinand, Evans, Evra, Giggs, Jones, Valencia, Nani, Kagawa, Rooney
Akiba: Lindegaard, Anderson, Hernandez, Young, Welbeck, Cleverley, Buttner.
Refa: Svein Oddvar Moen (Norway)

KAMA ULIANGALIA MECHI GONGA LIKE, TOA MAONI YAKO
13Like ·

MAJANGA TENA...PICHA ZA RAYUU AKIWA NA NJEMBA KITANDANI WAKIJIVINJARI ZAVUJAA NA KUSAMBAA MITANDAONI




WAKILA BATA KWA RAHA ZAO


HUYU NDO JAMAA MWENYEWE ANAYE KAMATIA MZIGO

WAKUBWA TUU!!!! BAADA YA POMBE KUMKOLEA MKE WA MTU APIGWA PICHA ZA UCHI GESTI NA KUFANYA MAPENZI....TAZAMA MAPICHA HAPA NI LAANA TUPU!!!



Wanasema Pombe sio Chai Mke wa mtu aamua kupiga picha za uchi akifanya mapenzi kwenye Gesti maarufu Jijini Mwanza


Inshu kamili ilikuwa hivi baada ya kuonekana mwanamke huyo ambaye kwa haraka hakufahamika jina lake aliingia kwenye gesti hiyo ambayo inatoa huduma ya vinywaji na kuanza kupata moja moto moja baridi.baadaye kidogo aliingia mwanaume wa makamo.


>>>>PICHA YA 1

>>>>PICHA YA 2

>>>>PICHA YA 3 

>>>>PICHA YA 4

>>>>PICHA YA 5 

>>>>PICHA YA 6

>>>> PICHA ZAIDI

Msanii Steve RnB kuuaga Ukapela hivi karibuni....Amvisha Pete Mchumba wake...!!

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.

lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake.
 steve rnb engaged 2 
Rumour ni kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa  muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.\

tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa

Jokate atoa sababu 4 kwanini anapendwa sana na Wanaume..!!

1457508_659186680800846_1491636388_n

Mrembo anayefanya vizuri katika mambo mengi sana nchini Jokate Mwegelo amezungumza na kutaja Mambo manne yanayomfanya apendwe sana na wanaume wengi hapa nchini.
1. Kujiamini Hii ndi sababu kubwa ya kwanza aliyoitaja jokate. Ansema hamna kitu kinachowavutia watu, hasa wananume kama kujiamini. Mwanaume anapenda msichana anayejiamini. Zaidi ya yote hamna kitu kinachosema kuwa “I’m sexy” Zaidi ya mwanamke anayejiamini
2. Kujitegemea Hii ni kama sababu ya kwanza hapo juu, Jokate anasema hamna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda kutafuta vya kwako basi jua atakupenda sana
3. Kupendeza Jokate anasema ni muhimu kwa wadada kuvaa nguo nzuri ambazo zitakupendeza kulingana na mwili wako hasa hasa nguo zenye rangi ya kuonekana.
4. Tabasamu Tabasamu kila saa kwani tabasamu linakufanya unaonekana mzuri Zaid

MAJANGA!!! AMUUA MKEWE MJAMZITO MIEZI 9 SIKU 2 KABLA HAJAJIFUNGUA KWA MAWE...KITOTO CHAZIKWA KABURI MOJA NA MAMA....SOMA ZAIDI



JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, linamshikilia Philemon Ng’ambi, mkazi wa Madale Kata ya Wazo, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua mkewe, Enea Kagine kwa kumshambulia kwa mawe na matofali hadi kumuua.



Jeneza lenye mwili wa marehemu Enea Kagine likibebwa na waombolezaji.
Philemon anadaiwa kufanya unyama huo kwa marehemu mkewe aliyekuwa amebakiza siku mbili kabla ya kujivungua usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita  nyumbani kwake Wazo-Hill.

Akisimulia mkasa huo kwa mapaparazi wetu, jirani wa wanandoa hao aliyejitambulisha kwa jina la Fikiri Rashid alisema:

“Mimi nyumba yangu na yao zinatazamana hivyo siku ya tukio majira ya saa tisa usiku, nilianza kumsikia marehemu akipiga mayowe ya kuomba msaada akisema mumewe anamuua.



Marehemu Enea Kagine enzi za uhai wake.
“Nilitoka nje kwa lengo la kutaka kutoa msaada lakini nilihofia maisha yangu hivyo ilinibidi niwaite vijana wa ulinzi shirikishi ambao baada ya muda walifika eneo la tukio na kumkuta mtuhumiwa akivunja vyombo vya ndani kama mtu aliyechanganyikiwa, wakati huo tayari alikuwa ameshamuua mkewe.

“Baada ya kuwaona ulinzi shirikishi, alikimbilia chumbani na kwenda kujificha uvunguni kwenye kitanda huku watoto wao watatu wakiwa wamelala.



Mtuhumiwa wa mauaji hayo, Philemon Ng’ambi.
“Bila kuchelewa, askari wa ulinzi shirikishi walimkamata na kuwasiliana na Askari wa Kituo cha Polisi cha Wazo ambao walifika eneo la tukio na kumtia mbaroni mtuhumiwa pamoja na kuuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya taratibu za kipolisi,” alisema Fikiri.



Mama mzazi wa marehemu Enea akiwa na simanzi nzito.
Kufuatia tukio hilo la kusikitisha wanahabari wetu walifika katika Hospitali ya Mwananyamala ulipohifadhiwa mwili wa mwanamke huyo na mtoto wake waliyemtoa akiwa amefia tumboni.

Miili hiyo ilizikwa Jumatatu iliyopita (Novemba 25) mwaka huu katika kaburi moja kwenye Makaburi ya Madale, Dar es Salaam.

Kama unajiuliza na hujapata jibu kuhusu hizi picha zilizosambaa za Mrisho Ngassa na Snura mapenzini....SOMA HAPA

Snura na Ngassa 1 


Ni picha ambazo zimekua zikizungumziwa kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mitandao mingine ya habari nchini Tanzania zikimwonyesha mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa akiwa mapenzini na mwimbaji Snura wa bongofleva.

Snura anasema mwanzo wa hizi picha kusambaa ni baada ya kupoteza simu yake, namnukuu akisema ‘Millard hizo picha hazina uhusiano wowote unaounganishwa kimapenzi kati yangu na Ngassa ila ni sehemu ya vipande vya movie yangu inaitwa ‘Majanga’ ambayo nimeanza kuifanya na Ngassa amecheza ndani yake kwenye scene za mapenzi, yani Snura kwenye movie amecheza kama binti mrembo anaerukiarukia Wanaume’

‘Simu yangu ilipotea ndio maana wamezipata hizo picha, wakati tunashoot tulikua tunapigapiga tu hayo mapicha, mi sikuwa nataka kuzitoa kabisa manake movie yenyewe bado naifanya nusunusu kutokana na kukosa muda, hii ishu imeniletea sana matatizo manake mwingine anakua haamini unachokiongea na hakuna kitu kinauma kama kuongea ukweli alafu mtu anasema unadanganya’ – Snura

Kwa kumalizia Snura anasema ‘Ngassa alinipiga muda mfupi tu baada ya picha kuanza kusambaa akauliza mbona hizi picha zinasambaa hivi Snura? nikamwambia usinielewe tofauti babaangu kwa sababu mimi mwenyewe sikutaka zitoke, picha nilizopiga nyinginyingi tu wakati tunatengeneza movie ila naona watu wameona hizi ndio nzuri kwa skendo’

snura na Ngassa 3
Snura na ngassa 2

Mademu wa Kibongo Wamepagawa, WANAFUNIKA NYWELE WANAACHA MATITI WAZI..?


 

Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.

Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili.... Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika...?


Mademu wa Kibongo Wamepagawa, WANAFUNIKA NYWELE WANAACHA MATITI WAZI..?


 

Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.

Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili.... Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika...?


Picha ya SALAMA wa 'MKASI SHOW' Akijitomasa Nyeti zake Yazua balaa Mtandaoni..!!

Hii ndio Picha ya  mtangazaji maarufu wa show ya 'MAKASI' hapa Nchini SALAMA JABIR akionenekana akitomasa Nyeti zake huku wengi wakielezea kitendo hicho kwa hisia tofauti tofauti...

Jionee mwenyewe Picha hiyo hapo chini...



WEMA sasa lia na Mkorogo...Ngozi yake ilivyo sasa inasikitisha...!!



Habari ni kuwa Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza 

kujichubua. Chanzo kimoja makini ambacho kipo karibu na Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimeitonya Swahiliworldplanet jana kuwa Wema anajuta kujichubua na hajiamini tena katika urembo tofauti na miaka ya nyuma kwani kila mtu sasa hivi anajua Wema ni fake na amejaa urembo wa kichina kwa aslimia kubwa.



 " Wema mliyekuwa mwamjua kwa kujiamini si huyu wa sasa yaani anajuta kutumia mkorogo baada ya kujeruhiwa na madawa hayo yenye sumu, na zile habari kuwa alienda China kuwekwa ngozi ya bandia zilipoenea ndiyo kabisa zikamvunja nguvu, kiufupi Wema anatamani ngozi yake ya mwanzo sababu wengi wanajua urembo wake ni fake, unajua yule amezungukwa na wanafiki wengi wanamsifia hata katika mambo yasiyo na msingi ndiyo sababu akawa anazidisha mkorogo wakati anasifiwa eti mzuri na ana mvuto, sasa yamemtokea na puani... mimi akhaa! siwezi kuingia kwenye mkumbo huo

MAJANGA!!! AMUUA MKEWE MJAMZITO MIEZI 9 SIKU 2 KABLA HAJAJIFUNGUA KWA MAWE...KITOTO CHAZIKWA KABURI MOJA NA MAMA....SOMA ZAIDI



Je, ni kweli Khadija Kopa ndiye muimbaji bora wa kike wa taarab nchini Tanzania?


A: Mwenye wivu mwingi kupindukia
B: Asiye na wivu hata kidogo
C: Mwenye wivu kidogo tu

13Like · ·

Je, ni kweli Khadija Kopa ndiye muimbaji bora wa kike wa taarab nchini Tanzania?

A: Ndiyo
B: Hapana

3Like · ·

Jumanne, 26 Novemba 2013

Mtanzania mwingine avamiwa na kuumizwa vibaya huko Nairobi

HUYU NI MTANZANIA ALIYEVAMIWA HAPA NAIROBI NA KUUMIZWA VIBAYA HAPO JANA NA AMEJITAMBURISHA KWA POLICE WALIOMUOKOTA KAMA DR.JUMA MALIKI .TUNAPENDA KUWAOMBA YEYOTE ANAYEMFAHAMU AWASILIANE NA NA NDUGU ZAKE MAANA ANA HALI MABAYA NA HAKUNA ALIYEJITOKEZA KUMJUA .AMELAZWA HAPA KENYATTA NATIONAL HOSPITAL.NA HAKUNA TAARIFA ZAIDI YA HIZI.(na kwa sasa hawezi kuongea)

Click image for larger version. 

Name:	j malik.jpg 
Views:	0 
Size:	66.6 KB 
ID:	123114

JE KUNA UKWELI WOWOTE HAPA: ETI WANAUME WAREFU NDIO UGONJWA MKUBWA WA WANAWAKE

Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake na nyie mnasemaje??

PETER WA P-SQUARE APAGAWISHWA NA BINTI WA KIBONGO AMVISHA PETE JUKWAANI





Jionee mwenyewe hapo ilikuwa jana usiku kwenye show yao hapa dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya kutukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh Kazi kweli kweli Nani zaidi hapo kati ya Lola mke wake na Huyu ...?

MMH!!! GNESS MASOGANGE AACHIA TENA PICHA ZIKIONYESHA JINSI ALIVYOBARIKIWA "INYEEEE".... TAZAMA NEEMA HIZI




DIAMOND ATANGAZA AJIRA KWA VIJANA.. ANGALIA AJIRA ALIZO TANGAZA HAPA




Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?
NOTE:-
1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na

Kuedit)
3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea...
4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35..
5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote...

Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400


MAGARI YA WEMA YAGEUZWA GESTI....MOJA LAKAMATWA UFUKWENI LIKINESANESA.....SOMA ZAIDI

TAARIFA ikufikie kuwa chanzo cha Mkurugenzi wa Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu kutimua baadhi ya wafanyakazi wake akiwemo dairekta wake ni ufuska uliokubuhu huku magari yake yakigeuzwa gesti au danguro.


Wema Sepetu.
‘NI TOO MUCH’
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Wema alifikia hatua hiyo hivi karibuni ili kuficha skendo hiyo kubwa kwa sababu ilikuwa ‘too much’.


Ilifahamika kuwa pamoja na Wema kumpenda dairekta huyo kiasi cha kumwachia magari yake kutokana na ubunifu wake na uchapaji kazi lakini ilifika mahali akamshindwa.
“Alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kutumia magari yote kama kiongozi wa kampuni,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:


“Kweli jamaa alikuwa anatanua kila mahali. Mara Uhuru Peak, mara Coco Beach akiwa na totozi.


 
COCO BEACH, KINONDONI

“Kuna siku, moja kati ya magari ya Wema lilinaswa pale ufukweni Coco Beach likinesanesa na baada ya muda alishuka mwanamke akijitengenezatengeneza nguo zake.


“Ukiacha hiyo kuna siku nyingine lile jeusi lilinaswa maeneo ya Kinondoni ambapo mabinti walikuwa wakipishana kuingia na kutoka.”


 
TAARIFA MEZANI KWA WEMA

Ilielezwa kuwa habari za magari yake kutumika kwa ufuska zilimfikia Wema ambaye alimtimua dairekta huyo na wenzake waliokuwa wakitumia magari hayo ‘kung’olea’ watoto wazuri

.
“Wema ana mashabiki sana hivyo wakiona magari lake wanadhani ni yeye ‘so’ wakijichanganya tu wanaingia wenyewe kwenye kumi na nane za washikaji na kujikuta wakiwafaidisha,” kilisema chanzo.


Ilidaiwa kuwa ilifika hatua wasichana wa mjini wakayajua magari yote ya Wema, jambo ambalo ni hatari kwani staa huyo anaweza kuvamiwa na kuhatarisha maisha yake.

Lakini ili kunusuru yote hayo ndipo Wema akafikia hatua ya kuchukua uamuzi huo mgumu.



 

WEMA ANASEMAJE?

Katika kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Wema lakini hakupatikana kwa njia zote badala yake alipatikana mratibu wa shughuli zote za kampuni hiyo, Petit Man ambaye alisema:


“Yaah…ni kweli ishu hiyo imetokea. Unajua mwanzoni bosi alikuwa akiambiwa tu na watu kuwa magari yake yanatumika ndivyo sivyo ‘so’ alipojiridhisha ndiyo akachukua uamuzi huo ili kunusuru ‘imeji’ ya kampuni.”

VIDEO!!! Mwili wa mwanamamke wakutwa kichakani ukiwa umekatwa kichwa na kufungwa kamba....TAZAMA HAPA INATISHAAA!!


Wanakijiji wa kijiji cha Nyamira  wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba...
 
Mwili huo  ambao unaonyesha kuwa ni wa  mwanamke mwenye miaka kati ya 25 hadi 35 amekutwa umevaa  jeans pamoja na blouse nyeusi na kutupwa pembeni ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi.

Wanakijiji hao wamedai kushtushwa na  tukio hilo na kusema kwamba ni kitu cha ajabu kwenye kijiji chao na polisi wa Kenya wametangaza familia yoyote itakayoona kuna mtu amepotea nyumbani kwao atoe taarifa mapema.

Hii ni video ya  ripoti kamili ya NTV ya Kenya
http://www.youtube.com/watch?v=Q0bKjDKiSDs&feature=player_embedded

MSHINDI WA BIG BROTHER AFUNGA NDOA HUKO NAMIBIA, TAZAMA PICHA JINSI ILIVYOKUWA


Big Brother Africa Winner, Beautiful Dillish Mathews got married to her beau, today in Namibia......but

it looks like Melvin Oduah was the only big brother contestant in attendance.