like hii facebook
Jumatatu, 9 Desemba 2013
Alhamisi, 5 Desemba 2013
LAAANA!!!!! HUDAH AACHIA PICHA NYINGINE ZA UTAMU.... KAMA HAUNA MIAKA 18 USITAZAME ...
It seems like the socialite world is becoming more and more competitive, witnessed by the continuous release of nude pictures by the known Kenyan Socialites.
Apparently, after Vera Sidika, the queen of Booty released some slight preview of her assets...
Huddah Monroe is also doing evrything possible to draw back attention to herself. The damsel has been in an holiday spree in Bangkok, but apparently, she has kept her funs back at home thinking of her very single moment.
Check out just a sample of her semi-nude pictures she's been uploading in her social network accounts
TAHADAHARI PICHA NI ZA KIKUBWA ZAIDI...18+ NDIO WANATAKIWA KUTAZAMA...SHAURI YAKO......
<<<<PICHA YA 1>>>>
<<<<PICHA YA 3>>>>
<<<<PICHA YA 4>>>>
<<<<PICHA YA 5>>>>
<<<<PICHA ZAIDI>>>>
USISAHAU KULIKE PAGE YETU FACEBOOK
<<<<PICHA YA 4>>>>
<<<<PICHA YA 5>>>>
<<<<PICHA ZAIDI>>>>
USISAHAU KULIKE PAGE YETU FACEBOOK
LAANA HII!!! MSANII AANIKA NYETI ZAKE STEJINI WAKATI WA SHOO...NI STAILI YA BILA CHUPI HII....TAZAMA MAPICHA HAPA LIVE BILA CHENGA!!!
Ni msanii mwingine wa kinigeria ambaye kaamua kujitafutia umaruufu kwa staili ya kutovaa nguo za ndani....
Kwa mujibu wa mitandao ya kinigeria, msanii huyu ambaye ni underground anaripotiwa kunywa pombe kupita kiasi kabla ya show kuanza , hali iliyomfanya asijitambue na kuona kila kitu ni kizuri mbele ya macho yake.
>>BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU FACEBOOK KWANZA ILI UWEZE KUZIONA PICHA ZOTE ZA UTUPU>>
BOFYA HAPO JUU UJIONEE...NI LAZIMA UWE MKUBWA
PICHA YA 1
PICHA YA 2
PICHA YA 3
PICHA YA 4
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEB
HIVI NDIVYO MACHANGUDOA WANAVYOLALA BAADA YA KUFANYA KAZI YA UMALAYA USIKU KUCHA
KICHAKA CHA NGONO:MADADAPOA WAKUTWA NA WATEJA WAO,WENGI NI WAKE ZA WATU NA MADENTI.....

UCHAFU unaendelea kufichuliwa! Safari hii Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Temeke wamekifyeka kichaka cha ngono maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar, Risasi Jumamosi linakupa habari kamili.
Tukio hilo limetokea juzikati usiku wa manane baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuchoshwa na tabia za madadapoa hao waliokuwa wakifanya vitendo vichafu karibu na nyumba zao na kutoa taarifa kwa OFM.
Kikosi hicho kiliwasiliana na Kamanda wa Polisi Kanda ya Temeke, Englebert Kiondo na kupewa askari wa Kituo cha Mbagala Kizuiani na kwenda kukifyekelea mbali kichaka hicho.
![]() |
Kondom zikiwa zimezagaa eneo la tukio. |
![]() |
Walionaswa wakiwa katika difenda. |
Pia, kikosi hicho kilimkuta mteja mmoja akiwa anapewa huduma hiyo ndani ya kichaka hicho kilichotapakaa kila aina ya kondom katika kona zote.
Ndani ya kichaka hicho, kulikuwa na sehemu maalum ya kufanyia ngono ambayo ilikuwa imetandikwa boksi chafu huku sehemu ya mlango ikizibwa na gunia aina ya ‘salfeti’.
OFM ilibaini kwamba kabla ya dadapoa na mteja wake kuingia ndani ya kichaka hicho, kulikuwa na malipo ya fedha kwa mmiliki wa kichaka hicho ambaye alifahamika kwa jina maarufu la Babu ambaye hata hivyo, alifanikiwa kukimbia baada ya kuona madadapoa hao wakikamatwa.
Pamoja na hayo, oparesheni hiyo ilimnasa kahaba mdogo kuliko wote aliyejitambulisha kwa jina moja la Sarah (16) ambaye alidai kuwa ni yatima kutoka Mkoa wa Mtwara na alijichanganya katika biashara hiyo haramu kwa ajili ya kutafuta kipato kwa kuwa hana ndugu wa kumsaidia.
Oparesheni hiyo pia ilimnasa mama mtu mzima aliyejitambulisha kwa jina moja la Joyce (38).
Pamoja na mama huyo kuhojiwa sababu ya kuingia katika biashara hiyo aligoma kuzungumzia kutokana na aibu.
Watuhumiwa wengine pia waligoma kutoa ushirikiano kwa OFM kwa kuhofia kuvunja ndoa zao kwa kuwa ilibainika kwamba wengi wao ni wake za watu.
Madadapoa hao pamoja na mteja aliyenaswa walipelekwa katika Kituo cha Polisi cha Kizuiani na kufunguliwa jalada la kesi namba MBG/RB/11343/13 KUFANYA VITENDO VYA UMALAYA, kabla ya kupandishwa kizimbani kwa hatua zaidi za kisheria.
MKE WA MTU AVUA NGUO HADHRANI BAADA YA POMBE KUPANDA KICHWANI..

KITUKO cha aina yake kimejiri Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar wakati Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ ilipokuwa ikitumbuiza
Katika onesho hilo, mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu alifanya kitendo cha aibu baada ya kusaula nguo zake zote na kubakia na nguo za ndani.
Katika onesho hilo, Extra Bongo ilikuwa ikiwashindanisha mashabiki wake kucheza staili yao ya Kizigo na washindi kujinyakulia zawadi za fedha.
Wakati bendi hiyo inayoongozwa na ‘Kamarade’ Ally Choki ikitoa burudani, ghafla mwanamke huyo alivamia jukwaa na kuanza kucheza kwa staili aliyokuwa akiijua mwenyewe.
Mpigapicha wa amani alipojaribu kumpiga picha dada huyo alihamaki na kumjia juu huku kumtishia kumvunjia kamera yake huku akidai kuwa yeye ni mke wa mtu, hivyo hapaswi kupigwa picha.
“Mimi ni mke wa mtu ukifanya mchezo nitakutolea laana,”alisema mwanamke huyo huku akizishika nguo zake na kuanza kuzitoa mwilini mwake moja baada ya nyingine.
Wakati mwanamke huyo akiendelea na zoezi lake la kusaula nguo, alijitokeza dada mwingine ambaye aliambatana naye pamoja ukumbini hapo na kumwita kwa jina la wifi.
“Wifiii…, wifiii…, weee wifii pombe gani hizo, usivue nguo, usifanye hivyo ni aibu, itakuwaje kaka akiziona hizo picha magazetini?” alisema dada huyo aliyedaiwa kuwa ni wifi mtu lakini pamoja na kumpigia kelele hizo haikusaidia kumzuia mwanamke huyo mcharuko kusaula nguo zake.
Baada ya kuombwa sana na wifi yake, mwanamke huyo alivaa nguo zake na kuendelea na burudani hadi mwisho.
Haikufahamika mara moja kama mwanamke huyo alifanya kitendo hicho kutokana na pombe au hasira za kupigwa picha.
LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MAENDELEO YA WANAWAKE NA WATOTO MASASI...MILIONI 103 ZAPATIKANA

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo.

Askofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini.
SAMAHANI KWA PICHA HIZI..!! MWILI WA MAREHEMU PAUL WALKER WA FAST AND FURIOUS WAONYESHWA...!! TAZAMA HAPA




DECEMBER..!!!HUU NDIO UJIO MPYA WA RAY C...!SOMA ZAIDI HAPA!

Mwanadada huyo kwa sasa yupo busy akiandaa nyimbo mpya.
Hivi karibuni wakati akiongea na paparazi wetu, Ray C alisema ana singo mpya kama 4 au 5.
“Naandaa albamu itayokuwa na ngoma zote kali nilizofanya kwa takriban miaka 10 sasa itaitwa The Best of Ray C. Itakuwa na greatest hits zangu zote nilizofanya kwa kipindi chote hicho. Tumuombe Mungu.
Akinijali na kama mipango itaenda vizuri, Desemba mwaka huu nitarudi rasmi stejini. Nitafanya shoo maalum kwa mashabiki wangu.
Nitakuwa na nyimbo mpya kali na zile za zamani. Sipati picha kwa watu watakaohudhuria kwani watapata burudani adimu kutoka kwangu.” Alisema Ray C.
WEZI WAMFANYA KITU MBAYA IZZO B, SOMA KUJUA ZAIDI

Rapper na Mjasiriamali Emannuel Simwinga aka Izzo Bizness hivi karibu alipata hasara kubwa kwenye Internet Cafe iliyopo Mkoani Mbeya,baada ya wezi kuvunja na kuiba vifaa vya internet Cafe vikiwemo Computer sita zinazogharimu jumla ya shillingi za Tanzania 2,700,000.
Kupitia kwenye instagram amepost picha ya Internet Cafe na kuandika jinsi alivyopokea taarifa za kuibiwa vifaa vyake na kuwataka wananchi wamsaidie.
' Leo ni siku mbaya sana kwangu na familia yangu pia nimepata taarifa za kuvunjiwa na kuibiwa computer sita katika ofisi yangu iliyopo mbeya maeneo ya chuo cha (TEKU) naomba mungu unitie nguvu kama upo mbeya na ukasikia watu wanauza computer pasipo njia halali tafadhali naomba utoe taarifa kwa kunijuza. Mungu abariki siku yako.

TETESI : HII N DO GARI ALIYONUNUA MSANII YOUNG KILLER AKA HANDSOME BOY ASIYE NA MATUNZO

Leo katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na picha hiyo hapo chini kutoka kwa msanii Young Killer mwenyewe anapenda kujiita Handsome Boy asiye na matunzo. Maelezo katika picha hiyo yalisema ''ASANTE.......MZIK mungu barik kazi ya mikono yangu'' na katika picha hiyo alikua kakaa juu ya gari aina ya Toyota IST. Nikajiuliza je ni kweli Young kanunua gari au alikuaakimaanisha vingine. Kama ni kweli gari ile ni yake basi huuni mwanza mzuri kwake na ni kithibitisho tosha kua mziki wa bongo unalipa. Team Bongoclan inafanya jitihada za kumtafuta ili atujuze zaidi. Mungu ambariki sana Young Killer

BELLE9 AELEZEA BALAA LILILOMKUTA BAADA YA KUFUMANIWA NA MCHUMBA WA MTU..!
Mkali wa bongo fleva Abelnego Damian 'Belle 9' Aliwahi kukumbwa na zahma mbaya ya kufumaniwa chumbani na mke wa mtu jambo ambalo lilimalizwa kwa kuminywa chini kwa chini lakini habari hiyo haikubumburuka wala kulipotiwa mahali popote.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho pia ni msanii mkubwa katika game la muziki (jina lipo kwenye droo zetu) Bele alipata kashfa hiyo mwaka 2010 ambapo siku ya tukio alikuwa chumbani kwake na mwanamke huyo ambaye hakujua kama ni "mali ya mtu"
Aidha "mtonyaji" wetu alizidi kuweka bayana kuwa, bahati nzuri Belle 9 alikuwa anafahamiana vyema na mfumaniaji huyo ambapo alikuwa muungwana kwa kuomba msamaha huku akiipoza ishu hiyo kwa misimbazi kadhaa "ishu haikuwa ya kitoto . Waliyamaliza chumbani humo humo lakini Belle 9 alivunja kabisa uhusiano wa aina yeyote na mwanamke huyo.
Mdakuzi wetu alipomtafuta Belle 9 kwa njia ya simu , alikiri kukumbwa na jambo hilo huku akisisitiza kulisahau. "Duh! hiyo ni kitambo sana ujue, ila anyway ni kweli lakini halikuwa fumanizi kama unavyosema, wala hakuwa mke wa mtu zaidi ya mapenzi ya kawaida" alisema Belle 9
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho pia ni msanii mkubwa katika game la muziki (jina lipo kwenye droo zetu) Bele alipata kashfa hiyo mwaka 2010 ambapo siku ya tukio alikuwa chumbani kwake na mwanamke huyo ambaye hakujua kama ni "mali ya mtu"
Aidha "mtonyaji" wetu alizidi kuweka bayana kuwa, bahati nzuri Belle 9 alikuwa anafahamiana vyema na mfumaniaji huyo ambapo alikuwa muungwana kwa kuomba msamaha huku akiipoza ishu hiyo kwa misimbazi kadhaa "ishu haikuwa ya kitoto . Waliyamaliza chumbani humo humo lakini Belle 9 alivunja kabisa uhusiano wa aina yeyote na mwanamke huyo.
Mdakuzi wetu alipomtafuta Belle 9 kwa njia ya simu , alikiri kukumbwa na jambo hilo huku akisisitiza kulisahau. "Duh! hiyo ni kitambo sana ujue, ila anyway ni kweli lakini halikuwa fumanizi kama unavyosema, wala hakuwa mke wa mtu zaidi ya mapenzi ya kawaida" alisema Belle 9
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)